Pages

Subscribe:

Wednesday, February 21, 2018

BAADA YA HARMONIZE SASA NI BEN POL, ALIKIBA NA OMMY DIMPOZ


Tulimuona Harmonize akiwa ameweka nywele zake rangi akafuata Ben Pol na rangi ya kijani ,wengi walimshangaa kila  mtu akiwa na maoni yake ila hawa ni wasanii lazima kujitofautisha na mashabiki zao.

Jana Ali Kiba na Ommy Dimpoz nao walitupia picha zao instagram wakiwa wamebadilisha rangi ya nywele zao,Ommy akiwa kaweka bleach na Ali akiwa kaweka...
nywele nyekundu. Je unaionaje stahili hii ya nywele kwa wasanii wetu bongo?
 
Ommy Dimpoz
Do we like their new hair colors????
 

Ben Pol

Harmonize

0 comments:

Post a Comment