Pages

Subscribe:

Tuesday, February 27, 2018

MADEE AZUNGUMZIA UJIO WA NGOMA MPYA YA WASANII WOTE WA TIP-TOP


Msanii Madee amefunguka kuhusu ujio wa ngoma ya pamoja ya kundi la Tip Top Connection, Hitmaker huyo wa ngoma ‘Sema’ ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa bado hakuna mpango wa kutoa ngoma ya pamoja ila ni kitu ambacho kinaweza kujakutokea.

“Bado kabisa, hatuja-plan hivyo, hakuna ugumu wowote ila ni kitu ambacho bado hatujapanga ila ikitoka itajumuisha...
wasanii wote wa Tip Top Connection,” amesema Madee.

Tip Top Connection mwaka jana walimtambulisha msanii mpya anayekwenda kwa jina la Gaza ambaye alitoa ngoma ‘Nanii’ aliyomshirikisha Madee.

0 comments:

Post a Comment