Pages

Subscribe:

Monday, February 26, 2018

SWALA LA DAVIDO KWENDA MBINGUNI MASHABIKI WALIJIA JUU

Leo February,26 2018 story ambayo imechukua headlines katika mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya staa wa muziki kutokea Nigeria Davido  baada ya tweet yake kusambaa katika mitandao ya kijamii akiwa ameandika “Mbinguni ni pazuri siwezi kusubiri kwenda”

Baada ya maneno hayo kutoka kwa staa huyo mashabiki walionekana kubaki njia panda kwa kile ambacho Davido amekiandika kupitia account yake ya twitter na wengi kuhusisha maneno hayo kuwa...
huenda ni wimbo mpya na wengine kumtaka Davido aelezee kwa nini ameandika maneno hayo.



0 comments:

Post a Comment