Pages

Subscribe:

Wednesday, February 28, 2018

FEMI ONE ATAJA SABABU ZA KUACHIA WIMBO WA MKALI WAO



Rapper wa kike kutoka Kenya mwenye michano ya hatari, Femi One amefunguka sababu za kuachia wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Mchizi Gaza, Mkali Wao.

Akiongea na Bongo5, msanii huyo amesema ameamua kuachia wimbo huo ili kuwapa vibe mashabiki wake na kuwaonyesha kuwa hajauacha muziki wa Hip Hop.

“Nilitaka kuwapa mashabiki wangu wa hip hop kitu na vibe ya muziki wa zamani wa Hip Hop na kuwaambia kuwa sijaacha Hip Hop,” amesema Femi.

Tazama Video ya wimbo huo hapa chini.

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment