Pages

Subscribe:

Wednesday, February 21, 2018

IF NA FALL ZAMFANYA DAVIDO KUWEKA HISTORIA MPYA KTK MUZIKI


Msanii wa muziki Davido ameandika hisitoria mpya katika muziki kwa ngoma zake mbili alizoziachia mwaka 2017 za ‘if ‘ na ngoma ya ‘Fall’ Ngoma hizo mbili zimeweza kufika mauzo ya juu huku ngoma ya ‘IF’ ikifikisha mauzo ya Diamonda na ngoma ya ‘Fall’ ikifikisha mauzo ya Platnumz.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Davido ambaye alikuwa katika ofisi za Columbia Records, amewashukuru mashabiki zake na...
team yake kwa kusabisha yeye kufanya poa kwa ngoma hizo.

‘IF’ Is officially Diamond and ‘FALL’ is officially Platinum in sales!!! My ’s finallly came in as well! GOD IS REAL!! ! Thank you Guys for making this happen!! just gettin started!!! Bless to my team @efe_one@asaasika@missamadi@sirbanko 

Mnamo Oktoba 27 mwaka jana msanii wa muziki, Diamond Platnumz aliweza kupewa na label ya Universal Music Group (UMG) mara baada ya wimbo wake Marry You aliomshirikisha Ne-Yo kufikisha mauzo ya Platinums sita.

0 comments:

Post a Comment