Pages

Subscribe:

Friday, February 23, 2018

HAWA NDIYO MASTAA WA BONGO FLAVA WALIOWEKA HADHARANI MAHUSIANO

Kuna msemo unasema kila katika mafanikio ya mwanaume basi jua nyuma yake kuna mwanamke imara, leo naomba nikusogezee TOP list ya mastaa wa Bongofleva ambao wameamua kuweka wazi mahusiano yao.

Mastaa wa muziki wa Bongofleva wapo wengi katika mahusiano ya kimapenzi lakini sio kila mmoja ameamua kuyaweka wazi mahusiano yake, ukiachilia mbali wasanii ambao tunafahamu kuwa wameoa, hii ndio TOP list ya mastaa wa Bongo ambao...
mahusiano yao ya kimapenzi yapo hadharani
1. Vanessa Mdee na Juma Jux


2.Nahreel na Aika


3.Nikk Wa Pili na mpenzi wake


4.G Nako na Yasinta


5. Aslay na Tessy



07. Harmonize na Sarah

0 comments:

Post a Comment