Pages

Subscribe:

Tuesday, February 20, 2018

MWANAUME ALIYE HUSIKA KWENYE MKANDA WA NGONO NA BLACK CHYNA AFUNGUKA


Hatimaye mwanaume aliyekuwa katika mkanda wa ngono na mwanamitindo Black Chyna amejitokeza hadharani.

Kwa mujibu wa mtandao wa MTZ, umedai kuwa kijana Mechine amejitokeza na kudai kuwa yeye ndiye mwanaume aliyekuwa katika mkanda huyo uliovuja Twitter ila yeye hausiki kuuvujisha hivyo anataka vyombo husika...
kumbaini aliyefanya mchezo huo.

Kwa upande wa mwanasheria wa mrembo huyo Lisa Bloom alijitokeza na kukemea kitendo hicho alichoita uzalilishaji kwa mteja wake.

Mkanda huo wa ngono uliwekwa katika mtandao wa kijamii wa Twitter amabo ulikuwa na dakika 1 na sekunde 23.

0 comments:

Post a Comment