Pages

Subscribe:

Thursday, March 30, 2017

AUDIO: DIAMOND PLATNUMZ AKAMILISHA MAZUNGUMZO YA KUFUNGUA TAWI LA WCB NCHINI RWANDA


My Dear RWANDEESE Artist,  am so happy to inform you that, from next week @wasafidotcom branch will be officially in RWANDA....i will soon annouce where and how you can get connected and be able so to sell your good Music through @wasafidotcom platform...🙏 (Mapema baada ya kukamilisha kikao na Makubaliano na kampuni itayokuwa tawi letu  ama agent wa @wasafidotcom nchini RWANDA... Muda si Mwingi  nitawatangazia Wasanii wote wa Rwanda ni namna gani mnaweza kuwa na Acount za kuuza nyimbo zenu @wasafidotcom ....

March 28 tulizinyaka taarifa za mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kukamilisha mazungumzo kuhusu kufungua tawi la Wasafi.Com nchini Rwanda, kitu ambacho ni kizuri katika kukuza brand yake na vitu kama hivyo.

Mwandishi amepiga story na Diamond Platnumz na amefunguka kila kitu kuhusu ilikuwa vipi hadi kuifanya platform yake ifanye kazi na wasanii wa Africa nzima tofauti na lengo lake la mwanzo. Msikilize menyewe akizungumza hapa chini

Play Here 

0 comments:

Post a Comment