Pages

Subscribe:

Thursday, March 30, 2017

BENDERA NDEFU KULIKO ZOTE NCHINI INDIA YABADILISHWA

Inasemekana kuwa bendera hii iliwekwa kwa haraka
Bendera ndefu zaidi huko India ambayo mnara wake upo juu ya mpaka wa Pakistan inabadilishwa kwa mara ya nne sasa baada ya kuendelea kuchanika kwa upepo.

Bendera hiyo ya taifa iliyo na urefu wa mita 600, ilipandishwa mwezi uliopita katika ukanda mkuu wa Wagah inayokatisha katika nchi hasimu ya...
jirani, Mbadala umebidi kutafutwa kwasababu sheria za India zinasema bendera iliyoharibika haiwezi kupeperushwa.

Bendera hiyo iliwekwa hasa ili ionekane kutoka mji wa Pakistan ya Lahore yenye umbali wa kilomita ishirini.

0 comments:

Post a Comment