Pages

Subscribe:

Thursday, March 30, 2017

KIM KARDASHIAN NDANI YA SAKATA MITANDAO YA NGONO KWA MARA NYINGINE


Kim Kardashian kwenye sakata la ngono mitandaoni. Kupitia kurasa ya twitter ya mtandao huo wa ngono wa PornHub, umeandika ujumbe wa kumtakia Kim Kardashian happy 10th anniversary ya video yake ya ngono ambayo aliwahi kujirekodi na mpenzi wake wa zamani Ray J ambae Kim kardashian alijirekodi, Sasa mtandao huo umesherehekea kwa kusema kwamba video hiyo...
ambayo ilitupiwa kwenye mtandao huo, imetazamwa kwa mara nyingi zaidi kuliko video zingine.

So much can change in 10 years 😩 #PornHub #HappyAnniversary #KimKardashian #RayJ

0 comments:

Post a Comment