Pages

Subscribe:

Thursday, March 30, 2017

HUU NDIYO UTABILI WA BILLBOARD JUU YA MSANII TEKNO


Billboard yaamua kufunguka makubwa kwa Tekno kwamba anatarajiwa kuwa ni moja ya wasanii kutoka Nigeria wanaotarajiwa kufanya makubwa kwenye soko la muziki nchini Marekani.

Tumeshuhudia wasanii kama Davido na Wizkid wakiwa wametoboa katika anga za kimataifa kwa kuvuka boda ambapo tukicheki upande wa Wizkid amefanikiwa kupata...
heshima kubwa na tuzo kibao kupitia wimbo wa One Dance.

Sasa kupitia mtandao wa Billboard umeanza kutabili makubwa kwa Tekno.

0 comments:

Post a Comment