Pages

Subscribe:

Wednesday, March 29, 2017

COME CLOSER YA WIZKID FT DRAKE KUTOKA IJUMAA HII

Hatimaye Wizkid anaachia rasmi ngoma yake “Come Closer” Rasmi Ijumaa Hii.
Kupitia mitandao yake ya kijamii, Wizkid ametangaza ujio wa nguma hiyo rasmi pamoja na video yake Ijumaa hii, Pia kuna uwezekano akaachia...
mixtape mpya siku hiyo hiyo, mwanzoni mwa mwakaa huu, Wizkid aliahidi kuachia mixtape nne mpya ndani ya mwaka huu pekee.

Ngoma hiyo ambayo amemshirikisha Drake ilivuja miezi kidhaa iliyopita.

0 comments:

Post a Comment