Pages

Subscribe:

Friday, March 31, 2017

VICTORIA KIMANI NA GODZILLA WAGSWA NA HII ISHU YA KENDRICK LAMAR


‘Humble’ ya Kendrick Lamar imepagawisha wengi sana na wengine kupigia salute ambayo yameimbwa humo, Godzilla pamoja na Victoria Kimani wametoa yao kuhusu video hiyo ya Kendrick Lamar.

Ikiwa bado haijajulikana album ya Kendrick Lamar itapewa jina gani,  tunachofahamu kwa sasa ni kwamba rapper Schoolboy Q amethibitisha ujio wa Album upo, baada ya kuachia “The Heart part 4” this time Kendrick amesogeza moto mwingine wa “Humble”, ukiachana na hayo, rapper...
kutoka Bongo, Godzilla anaonekana kukunwa na mstari wa Kendrick Lamar unaosema kwamba.
 
I’m so fuckin’ sick and tired of the Photoshop, Show me somethin’ natural like afro on Richard Pryor, Show me somethin’ natural like ass with some stretchmarks, Still will take you down right on your mama’s couch in Polo socks, ayy” ambapo katika kurasa ya Instagram ya Godzilla aliandika kwa kusema kwamba Be humble…we accept you ulivyoo…dont complicate…king kendrick..

Mrembo kutoka Kenya anayefanya muziki miondoko ya Afro Pop, Victoria Kimani nae amefunguka juu ya video hiyo kwa kusema kwamba kama angekuwa rapper basi angekuwa Kendrick Lamar, Kimani hakuishia hapo na kumtag Director wake kumtaka wafanye kama alichofanya director Dave Meyers kwa kuweka moto vichwani mwa Kendrick Lamar na washikaji zake, 

Bruhhhhhh…..If I were a rapper I would be Kendrick ….also, These visuals…. babe @iam_sos1 can we do this fire thing without dying ?! Im

0 comments:

Post a Comment