Pages

Subscribe:

Friday, March 31, 2017

HUYU NDIYE LIL CRAMA MSANII KUTOKA TZ ANAYE KINUKISHA MAREKANI


This time around kutoka pande za USA, anakuja Mchizi wa Kibongo mwenye makazi yake huko, akiwakilisha vyem bendera ya 255 mjini Huston Texas anakwenda kwa jina Lil Crama Hustle, ametundoshea bonge moja la Singo ‘Hard’ na bonge moja la chupa vyote akiwa amevifanyia huko huko unyamwezini.

Akijiandaa kufanya Singo yake ya Pili na msanii Christian Bella, LilCrama amewataka watanzania wajenge imani nae “thank god huku wanyamwezi wananielewa vizuri sana so am...

sure hata home watanielewa poa tu, respond nzuri ambayo nimeipata since namedrop single ya hard kwenye baadhi ya vituo vya bongo kiukweli nashkuru sana nachoweza kusema ni watu watu wa Tanzania now am Coming for real”

0 comments:

Post a Comment