Pages

Subscribe:

Friday, March 31, 2017

HUYU NDIYO MTANZANIA ANAYE FANYA VIZURI NA MUZIKI HUKO SWEDEN


Baada Marehemu James Dandu a.k.a Cool James ‘Mtoto wa Dandu’ kufanya vizuri sana pande za Sweden This time around kuna this kid wa kuitwa Lil Dev or u can call him David lils, anasimama kama mbongo anayefanya vizuri kwenye muziki nchini humo, unaweza kuona watanzania wanavyoweza kufanya poa sehemu mbali mbali duniani.

Lil Dev mbaye hivi karibuni amedondosha boonge moja la track ‘kidege’, mzigo unaendelea kusikika sehemu mbali mbali duniani na bongo, then singo yake mpya ‘wine’ angependa soon isikike...
bongo kwa mara ya kwanza, so far amewataka watanzania kutambua uwepo wa wasanii ambao wanaishi nje ya nchi huku wakiiwakilisha Tanzania Kiswahili kwenye anga za kimataifa.

“Mimi Origin yangu ni Mtanzania tena Mchaga nimezaliwa na kukulia Tanzania nimesoma Bombo Tanga lakini kwa hivi sasa makazi yangu ni Sweden najishughulisha zaidi na masuala ya muziki na nashkuru mungu nafanya vizuri tu that’s why nikaona imefika point nina kwa watanzania kutambua uwepo wangu kwenye industry” – Lil Dev

Achilia mbali muziki mchizi ni Music Producer, Song Writer, Mellody Maker na ni Sound Engeneer so mara nyingi kazi zake anazifanya mwenyewe kwa kuziandaa na kuziweka kwenye masikio ya wadau.

0 comments:

Post a Comment