Pages

Subscribe:

Thursday, March 30, 2017

KANYE WEST AUZA COLLECTION YA NGUO ZAKE MPYA KWA DAKIKA TANO

Kanye West ameendelea kuthibitisha kuwa yeye sio mkali kwenye Music tu bali hadi kwenye mitindo. Collection yake mpya ya nguo “Calabasas” aliyoshirikiana na kampuni ya Adidas imeuza (Sold Out) ndani ya dakika tano, Collection hiyo ilikua na nguo, viatu, socks,kofia na vingine 

Cha kushangaza zaidi hakuipigia promo kubwa kama...
collection zake zilizopita.
Kanye_West_Yeezy_Calabasas_collection1

0 comments:

Post a Comment