Pages

Subscribe:

Thursday, March 30, 2017

OMMY DIMPOZ AWAKERA MASHABIKI KWA STAREHE ZISIZO NA MSINGI

Huenda Ommy Dimpoz akawa ni msanii wa kwanza wa kiume Bongo anaekula bata sana nchi mbali mbali kutoka na picha anazopost..lakini swali linabaki kwa wengi kwani hawaoni akifanya kazi zinazolingana na bata hizi.

Msakie huyu mdau wa Jamii Forums alivyoamua kumfungukia bila chenga:
 

By Warumi:
"Yani hili jamaa linanikera, linapenda sana raha badala ya kufanya kazi, lenyewe kutwa kubadilisha ndege, mara Dubai, US, Italy, London, khaa! Tumekuchoka bhana, fanya kazi mtoto wa kiume hizo show off waachie akina..

Wolper na wema ,mbona wenzio akina diamond hawana huo upuuzi, wenzio wakisafiri kikazi kama bata sio kama unavyoendekeza wewe, hata kama unalipiwa bhana, unaboa sana, mxiew'

0 comments:

Post a Comment