Pages

Subscribe:

Thursday, March 30, 2017

YAMOTO BAND WATANGAZA UJIO WAO MPYA IJUMAA YA WIKI HII


Baaada ya kuwa kimya kwa muda takribani miezi saba sasa Yamoto Band kupitia mtandao wa Instagram wametangaza kuachia wimbo mpya ijumaa ya siku ya kesho wamepost picha hiyo hapo juu na kuweka caption isemayo"

Ilikuwa ni tarehe 13 June 2016 Bendi yako pendwa ya @yamoto_band_ ilitoa nyimbo ya “SU” kama official song waliomshirikisha mwana dada Ruby, wiki 3 mbele wakakuletea Bonus track Iliyokwenda kwa jina la...
“Mijudo” ..Sasa nizaidi ya miezi 7 haujawasikia kwenye masikio yako najua utakuwa umewamiss sana.., “BASI” ijumaa hii kupitia vituo vya radio zako zote pendwa kuna zawadi nzuri @yamoto_band_ wanakulete kaa tayari …”#BASI kutoka kwa #yamotoband
#BASI

 

0 comments:

Post a Comment