Pages

Subscribe:

Wednesday, March 29, 2017

FOYD MAYWEATHER AWEKA SOKONI GARI YAKE AINA YA CCXR TREVITA AMBAZO DUNIA NZIMA ZIPO MBILI TU



Floyd Mayweather ameamua kuiweka sokoni ndinga yake ya Koenigsegg CCXR Trevita, moja ya ndinga ambazo Duniani ziko mbili tu, moja akiwemo Mayweather, Hakuna asiyefahamu Collection ya magari ya kifahari ambayo anamiliki mnyama mkali Floyd Mayweather.

Sasa Good Newz ni kwamba Floyd ameamua kuiweka ndinga yake hiyo ya Koenigsegg CCXR Trevita sokoni ikiwa bado safi, Floyd Mayweather alinunua...
ndinga hiyo mwaka 2015 kwa mtonyo wa dola Milioni $4.8m.



Licha ya kutotangazwa kwa bei ya ndinga hiyo, Mzigo umehifaziwa huko jijini L.A ukisubiri mnyama mwingine kuja kuichukua na yeye kuingia kwenye rekodi ya kibabe ya kumiliki gari hiyo. kwa sasa wanaomiliki Gari hizo ni wawili tu, ambao ni Hans Thomas Gross na Floyd Mayweather.




0 comments:

Post a Comment