Pages

Subscribe:

Thursday, March 30, 2017

HARMONIZE NA IDRIS SULTAN WAINGIA VITANI KISA HIKI HAPA


Kama umepita pita katika mitandao ya kijamii siku ya jana naamini ulikutana na posts/tweets za mafumbo za mastaa wawili hapa Bongo, ambao ni Harmonize pamoja na Idris Sultan.

Inasemekana wawili hao walikuwa wakitupiana vijembe kupitia pages zao hizo za mitandao ya kijamii. Picha lilianza kwa Idris Sultan baada ya kuandika kwamba “Ogopa rapa wako anapo...
kiki kuliko wewe. Inabidi mbadilishane wewe ndo uwe rapa. #MsinitilieMaanani #NajiongeleshaTu”.

Kisha baada ya muda Harmonize kupitia kurasa yake ya Twitter akaandika kuwa “Naskia unalala Mbezi kwa Mwanaume mwenzio Daa Huruma kwani ulishindaga shilingi ngapi south….??? Mbaya zaidi naskia huna marinda”

Kisha masaa machache baadae tukaiona tena post ya Idris Sultan ilioambatana na caption iliyosomeka kama “Acha nicheke tu! Ntafanyaje sasa, kumpiga nzi risasi ntamuonea maskini. Huyu ni makofi tu #MarindaNimekuwaSketiyaShule….KARIBU KIUMENI”

0 comments:

Post a Comment