Pages

Subscribe:

Friday, March 31, 2017

JOH MAKINI AWAPA SHAVU ROSA REE, OMG NA MOTRA THE FUTURE


Hakuna kipingamizi kwamba Joh Makini ni mmoja kati ya rappers wenye heshima na mafanikio makubwa sana hapa Bongo, alichotaka kukijua B Dozen ni kwamba jicho la Joh Makini linamuona rapper gani mpya ambaye atafuata nyendo za mkali huyo.

Bila kupepesa maneno, kinywa cha Joh Makini kililitamka jina la rapper mpya wa kike anae sumbua kinoma noma na ngoma yake ya Up in The Air, Rosa Ree, na pia kumdondoshea...
sifa kibao rapper huyo kutokana na uwezo wake wa kuflow na mambo mengine kibao.

Pia Joh Makini aliwaongeza OMG na Motra The Future kwqenye list ya wakali wa kuwatazama siku za usoni kutokana na kazi ambazo wanafanya.

0 comments:

Post a Comment