Pages

Subscribe:

Friday, March 31, 2017

JESSE LINGARD AVUTA MKOKO WA BEI MBAYA



Mafanikio ya kimaisha ya mchezaji wa klabu ya Manchester United, Jesse Lingard mwenye miezi 18 tu ndani ya kikosi hicho, yameanza kuonekana. Licha ya uwanjani kuwa mmoja wafungaji wa magoli muhimu, nje ya uwanja mambo yanamuendea vizuri pia.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 tu, tayari sasa anamiliki gari la kifahari aina ya Bentley Continental GT lenye thamani ya paundi...
200,000 (zaidi ya shilingi milioni 545.2 za kitanzania.


0 comments:

Post a Comment