Pages

Subscribe:

Friday, March 24, 2017

MANGE KIMAMBI AFUNGUKA HAYA KUHUSU MWIGULU NCHEMBA

Ahsante Mwigulu., naamini mkuu hatokutumbua sababu alietoa bastola hakuwa Daudi Bashite... Ingekuwa ni Daudi Bashite alietoa Bastola Alafu wewe ukaagiza Hatua zichukuliwe ungeondoka kaka. Haki vile ingekuwa Mtoa Bastola ni Daudi Bashite Alafu ukato agizo hili saaa hivi ningekuwa nachangisha michango ya Farewell party yako!!

Alafu Vipi makosa ya Bashite?? Huyo mbona humgusi?? 😭😭 Nakutania tu , linda... kibarua chako mwaya, Huyo Hata ukimuita kwa mahojiano tu kazi huna!!!

0 comments:

Post a Comment