Pages

Subscribe:

Sunday, March 5, 2017

NICKI MINAJ ATOKA NA STYLE YA LIL KIM HUKO PARIS


Nicki Minaj aliamua kutoka na style ya Lil Kim kwenye Paris Fashion Week. Akiwa kwenye siti ya mbele kabisa wakati wa Ackermann Womenswear Fall/Winter 2017/2018 show jijini Paris, Jumamosi hii, Minaj alivaaa...
kiguo kilicho acha wazi maziwa yake huku kwenye chuchu moja akibandika kidude.

Huu ni mtindo ambao Lil Kim aliutumia mwaka 1999 kwenye tuzo za MTV VMAs.

Tazama picha zaidi za Nicki Minaj hapo chini:


0 comments:

Post a Comment