Pages

Subscribe:

Friday, January 26, 2018

EDU BOY: ALIKIBA NA DARASSA NDIYO WASHINDANI HALISI WA DIAMOND PLATNUMZ


Usiache Kupiga Picha  Na Kuni-Tag Utakapotazama @tvetanzania saa 1200 Cc @kwacheeofficial 
#TUNASAFISHA

Msanii wa muziki Bongo, Edu Boy amesema kipindi cha nyuma wasanii walikuwa wakihofia kutoa nyimbo kipindi kimoja na Diamond lakini sasa hivi hicho hakipo.

Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Tunasafisha’ amesema Alikiba na Darassa ni miongoni mwa wasanii ambao...
wanaweza kutoa ngoma kipindi kimoja na Diamond na zikafanya vizuri.

0 comments:

Post a Comment