Pages

Subscribe:

Monday, January 29, 2018

PICS: TAZAMA WCB WALIVYO MTAMBULISHA MAROMBOSO RASMI


Burudani ya aina yake imepigwa na wasanii wa Lebo ya WCB usiku wa kuamikia leo wakati kumtambulisha msanii mpya katika kundi hilo, Mbosso ambaye awali alikuwa Yamoto Band kabla ya kundi hilo kuvunjika. Tazama picha za tukio zima hapa chini...





WCB ikiongozwa na Lejendari, Diamond Platnumz, wamemtambulisha huyo katika Ukumbi wa Hyatt Legency Hotel jijini dar es Salaam na kuhudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo, Wema Sepetu na wengine pamoja na wanahabari.






0 comments:

Post a Comment