Pages

Subscribe:

Tuesday, January 30, 2018

ONLINE SHOPPING YAMPONZA SHILOLE AAPA KUTO NUNUA NGUO MTANDAONI



Staa wa muziki wa Bongo Fleva Shilole amesema kuwa anajuta kununua nguo online hii ni baada ya picha yake kuleta gumzo katika mitandao ya kijamii ikiwa imeacha baadhi ya maungo yake wazi.

Shilole hakutegemea gauni hilo lingemkaa kama lilivyokuwa limemkaa kutokana na lilivyokuwa linaonekana kwenye mtandao na kuamua kuandika...
kile alichojisikia kwenye mtandao wake wa Instagram.

Shilole aliandika hivi “Yaani kama ntaagiza nguo mm mtandaoni tenaaaaaaaa  walah labda mm sio Da mwajuma 

0 comments:

Post a Comment