Pages

Subscribe:

Friday, January 26, 2018

MANSU LI AAMUA KUUFANYIA KAZI USHAURI ALIOPEWA NA WAKAZI


Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Mansu_Li amesema ana mpango wa kuja na albamu ‘The Best of Mansu_Li’.

Rapper huyo amesema amemua kufanya hivyo kutokana na ushauri aliopatiwa na watu wengi akiwemo Wakazi, pia kutokana na albamu yake ‘Kina Kirefu’ kutofikia...
watu wengi.

“Kwanza pongeza kwa Wakazi ambye alinipa hilo wazo na nimelipokea kwa mikono yote miwili na ninalifanyia kazi,” amesema Mansu_Li.

“Kwa hiyo natoa The Best of Mansu_Li kwa sababu Kina Kirefu kwa kweli haikufika mbali na kufikia watu, mpaka kesho nakutana na watu na kuniulizia albamu ya Kina Kirefu,” amesisitiza.

0 comments:

Post a Comment