Pages

Subscribe:

Friday, January 26, 2018

MASWALI YAZUKA BAADA YA RICK ROSS KUFUTA PICHA ZA DIAMOND KWENYE UKURASA WAKE


Staa wa muziki kutokea nchini Marekani Rick Ross leo January 26,2018 amechukua headlines katika mitandao ya kijamii baada ya kujulikana kafuta picha zote za Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa Instagram.

Rick Ross amewahi kumpost mara mbili Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram, post zote zikihusiana na ishu ya...
ubalozi wa kinywaji cha Belaire mwezi September 2017.





Maswali yamezidi kuwa mengi kutoka kwa mashabiki baada ya Rick Ross kutofuta picha za kinywaji cha Belaire na kuacha picha ya Huddah Monroe ambaye pia ni balozi wa kinywaji hicho kutokea nchini Kenya lakini post za Diamond pekee ndio amefuta. 

Nini kinaendelea kati ya Diamond na Rick Ross? ikumbukwe tu Rick Ross na Diamond Platnumz wameshafanya kazi pamoja katika wimbo wa Waka Waka ambao ulifanyika nchini Marekani.

0 comments:

Post a Comment