Pages

Subscribe:

Friday, January 26, 2018

KHALIGRAPH JONES AWEKA WAZI KUJA NA COLLABLE NA JAY Z


Msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones ameweka mipango yake ya kazi kwa mwaka huu.

Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Omollo’ ameeleza kuwa mwaka huu anaanza mwaka kwa kufanya kazi na kundi la Sauti Soul kutoka nchini humo na...
hadi mwaka kukamilika atakuwa na ngoma na Jay Z. Kupitia mtandao wa Instagram ameandika;

And Finally, Khaligraph Jones x Sauti Sol na
2018 ndio imeanza, by December ntakua Na Ngoma na Jay Z.
#respecttheogs

0 comments:

Post a Comment