Pages

Subscribe:

Tuesday, January 30, 2018

MSANII RADIO HALI SI SHWARI SASA KUFANYIWA MAOMBI MAALUMU ILI APONE


Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Radio atafanyia maombi maalumu kufuatia ajali mbaya iliyopelekea kuwa mahututi kwa siku kadhaa sasa, Maombi hayo yameandaliwa kufanyika kwenye kanisa la Light the World lililopo Nansana ambalo linaongozwa na Wilson Bugembe.

Msanii huyo ambaye amekuwa akifanya vizuri na mwenzie Weasel (GoodLife),   tangu January 23 mwaka huu hali yake imekuwa kuripotiwa kuwa mbaya kufuatia...
ajali aliyoipata kuamkia siku hiyo.

0 comments:

Post a Comment