Pages

Subscribe:

Tuesday, January 30, 2018

PICHA ILIYOONESHA VANESSA MDEE KUWA MJAMZITO YAZIDI KUZUA MASWALI

Leo January 30,2018 kupitia mitandao ya kijamii picha ya msanii Vanessa Mdee imechukua headlines baada ya kupata gumzo na wengi kuhisi labda huenda akawa mjamzito.

Kupitia picha hiyo maswali yamekuwa mengi kutoka kwa mashabiki na wengi kuanza hata kutoa pongezi baada ya picha hiyo kusambaa katika mitandao ya kijamii akiwa...
Kenya kwaajili ya uzinduzi wa album yake.

Vanessa Mdee kwa sasa yupo nchini Kenya kwa jailli ya uzinduzi wa album yake ya Money Mondays na kuipromote, Vanessa Mdee pamoja na kuwa picha hiyo imtrend na kudhaniwa kuwa ni mjamzito kwa upande wake hajasema chochote.

0 comments:

Post a Comment