Pages

Subscribe:

Wednesday, January 31, 2018

MOSE IYOBO, TUNDA NA AUNT EZEKIEL WAWASHIANA MOTO INSTAGRAM

Aunt Ezekieli, Tunda na Iyobo Kimenuka  Wamwagiana Mvua ya Matusi Mitandaoni
Moja kati ya stories zinazotrend katika mitandao ya kijamii Jana Jumanne ya January 30 2018 ni post ya Tunda ambapo alipost picha yake katika ukurasa wake wa instagram na baadae Aunt Ezekiel kumjibu kwa kucomment.

Tunda aliandika: “Afu na wewe Mose kweli unakaa chini unaandika upuuzi kama huo kama kweli ni wewe umeandika basi huna uso wa haya!….inawezekana pia Aunt ndo umejiandikilisha🤣ivi wewe Moze huna haya NAKUULIZA SWALI MOJA TU KWANINI ULINIBLOCK...
KUPIGA KIPINDI ANT AMEANZA KUNIULIZA KUHUSU HELA KWANINI YANI UNIBLOCK”-Tunda 

“KWANINI HUKUTAKA NIKUULIZE IMEKUAJE HELA HAIJAFIKA DUKANI SIKIENI NYIE NITOLEENI UJINGA WENU HAPA WATU WAZIMA MLIOKOSA BUSARA NA AKILI YANI KABISA MIMI NIGOMBANE NA WEWE KISA LAKI KWELI HATA KAMA NINGEKUA SINA HELA SIWEZI KOSA LAKI YA KULIPA KWA HIYO MSITAFUTE STORY”-Tunda

“MMEMISI KUWEKWA FRONTPAGE KWENYE MAGAZETI MSINILETEE WAZIMU WENU AFU NINA SWALI KWANINI VIBENTEN VINAKUAGA NA MKONO MREFU YANI KABISA MOZE UMEONA NI BORA WATU WAGOMBANE KULIKO KUSEMA HELA ULICHUKUA KWA MATUMIZI MENGINE SHOGA WEWE !..Unantaka sio bure sina desturi ya kutembea na madancer🤪”-Tunda


“Una lako lingine nje ya pombe hilo linajulikana …wala hunisumbui JIBU NI LILE LILE ONGEA NA BENTEN WAKO AKUAMBIE HELA ALIPOPELEKA”-Tunda

Baada ya majibizano yaliyokuwa yakiendelea kati ya Tunda na Aunty Ezekiel , Mose Iyobo akaamua kumjibu Tunda kwa kuandika “Ujinga ni kubishana na mtu ambae kashafanya kila kitu ambacho wewe unafanya leo kama marudio unachotakiwa useme tu sina hiyo hela nitalipa siku flani”-Mose Iyobo

“Sio kuanza kuongea ushamba mke wangu awezi kutafuta kiki kwako ana mtoto maarufu kushinda wewe./kingine ben ten ni baba yako aliekuzaa akashindwa kukupeleka shule umeishia kufumuliwa free unakosa laki yakulipa pombe.”-Mose Iyobo


0 comments:

Post a Comment