Pages

Subscribe:

Friday, January 26, 2018

MIGOS WAANZA MWAKA KWA KUACHIA ALBUM YA CULTURE II



Kundi la Migos wameachis albamu yao nyingine baada ya kupita mwaka mmoja tangu walipoachia albamu yao ya mwisho iitwayo ‘Culture’. 

Quavo, Offset na Takeoff ambao ndio wasanii wanaounda kundi hilo wameachia albamu yao ya ‘Culture II’ ambayo ndani yake ina ngoma 24. Katika albamu hiyo Migos wamewakutanisha wasanii kibao akiwemo...
Drake, Travis Scott, Post Malone, 2 Chainz, 21 Savage na wengine.

Albamu hiyo ambayo kwa sasa imeanza kupatikana kupitia Apple Music imetayarishwa na maproducer kibao akiwemo Quavo, DJ Durel, Metro Boomin, Zaytoven, Cardo, Mike Dean, na Kanye West.

0 comments:

Post a Comment