Pages

Subscribe:

Monday, January 23, 2017

DIVA WA CLOUDS ADATA NA PENZI LA MWANAMUZIKI WA BONGO FLEVA

Diva ndani ya Penzi Jipya na mwanamuziki wa Bongo Flava anayejulikana kama Heri Muziki, penzi la wawili hao lilianza baada ya Diva kumwalika Mwanamuziki huyo katika kipindi cha Ala za roho kinachorushwa na Redio ya Clouds Fm. 

Diva amepost ushahidi wa penzi lao kw kupost video wakidendeka na kuandika haya hapa chini . #Regrann from @divathebawse - @herimuziki is The Key to...
My Happiness .. i chose to be Happy 💞

0 comments:

Post a Comment