Pages

Subscribe:

Friday, January 20, 2017

JOHN LEGEND KUIPAMBA STAGE YA TUZO ZA GRAMMY


John Legend kurudi upya kwenye stage ya tuzo za Grammy mwezi ujao.
Nguli wa vibao kama “all of me”na “Love Me now” ametajwa kuwa miongoni mwa wasanii ambao watatumbuiza kwenye stage ya utoaji wa tuzo za Grammy mwezi wa pili tarehe 12 huko Staples Center  jijini Los Angeles.

Licha ya kutochaguliwa kuwania kwenye tuzo hizi kwa mwaka huu wa 2017, John Legend bado ataendelea kuwa Legend kutokana...
kuwahi kushinda takribani tuzo kumi za Grammy.

 Are you ready? 10-time GRAMMY winner @johnlegend will take the stage Feb. 12 🎹

0 comments:

Post a Comment