Pages

Subscribe:

Friday, January 20, 2017

RAY NACHUCHU HANS WAFANIKIWA KUPATA MTOTO


Ni rehma zakwake Mungu ambaye leo hii amewazawadia mastaa wetu wa Bongo Movie Vicent Kigosi almaarufu kama Ray na mpenzi wake Chuchu Hans mtoto.
Ray Kigosi amelithibitisha hilo kupitia kurasa yake ya Instagram kwa kupost picha ya miguu ya mtoto wao huyo na kuandika maneno 49 kama caption ya shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kuwazawadia mtoto huyo.

RAY ameandika: ASANTE MUNGU KWA KUNILETEA PACHA WANGU ASANTE MY LOVELY MZUNGU KWA KUNIPA HESHIMA KUBWA KUNIFANYA NIITWE BABA, MUNGU WANGU WA HAKI ASIYESHINDWA NA JAMBO AKUBARIKI SANA, SASA MSIANZE MANENO YENU KWAMBA MWANANGU AMEKUNNYWA...
MAJI MTOTO BADO NI MCHANGA MAANA WATU WA INSTA KIBOKO LAKINI HAWAISHI MTONI. @chukichunathegreatest @chukichunathegreatest

0 comments:

Post a Comment