Pages

Subscribe:

Saturday, January 21, 2017

MHESHIMIWA PAUL MAKONDA AANDIKA HAYA MTANDAONI KUHUSU FID Q


Muziki mzuri humgusa kila mmoja, bila kujali umri wala cheo cha mtu. Ndicho ambacho kimetokea kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda baada ya kukolezwa na mistari kuntu ya Fid Q kwenye ngoma ya Roho ambayo kamshirikisha King of the best  melodies Christian Bella, hiki ndicho ambacho kakiandika kwenye page yake ya instagram.

Mheshimiwa paul ameandika:  Hakika umetubeba hakuna bingwa na mbabe ktk anga hizi kama wewe, huna...
mbwembwe na ujumbe unafika. #Mzikimgum

0 comments:

Post a Comment