Pages

Subscribe:

Friday, January 20, 2017

DIAMOND AWAPA MASHABIKI KIONJO CHA WIMBO WAKE MPYA UNAOITWA BAILA


Jana usiku wa manane mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alikuwa aki-stream live akipiga story na mashabiki wake katika mtandao wa Instagram, Ndipo midadi zikampanda mkali huyo na kuamua kuwaonjesha kiduchu mashabiki zake ngoma yake ambayo haijaachiwa inayoitwa Baila.

PLAY HERE 

0 comments:

Post a Comment