Pages

Subscribe:

Monday, January 23, 2017

HUU NDIYO UJIO MPYA WA KANYE WEST


Kanye West ameamua kuandaa project zake kimya kimya kwa mashabiki zake.
January 20 watu wakaribu wa Kanye West waliamua kuufungukia mtandao wa E Newz kwa kusema kwamba Kanye West ameamua kuja na projects yake mpya ambayo itahusisha Muziki pamoja na matamasha bila kusahahu maswala yake ya Fashion.
Licha ya source huyo kuongelea kuhusu ujio wa Kanye West, kulikuwa na taarifa kwamba tangu pindi alipoachiwa kutoka...
Hospitali yuko mbioni kuachia ujio wake mpya wa ngoma pamoja na fashion zake.

0 comments:

Post a Comment