Pages

Subscribe:

Thursday, January 5, 2017

HIVI NDIVYO MASTAA WANAOBWIA UNGA WANAVYO MTESA HARMONIZE

Baada ya kuibuka kwa jinamizi kwa upande wa wasanii wengi kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, Harmonize amefunguka yake ya moyoni.

Hitmaker huyo wa Matatizo, ameamua kutoa yake ya moyoni kupitia mtandao wa Instagram kutokana na kile kinachoendelea na kuwakumba baadhi ya wasanii ambao walikuwa...
wakikubalika kwa mashabiki.

Kupitia mtandao huo, Harmo ameandika:
Daaah Mungu tunusuru na hili janga la #Unga mana sisi tuna ushawishi mkubwa na tunatizamwa na watu wengi walio timamu na wasio timamu pia tunaigwa….!!! kwanini isiwe kwa watu wengine…..?? mbona kila siku sisitu…..?? #Muzi & #Muvie

0 comments:

Post a Comment