Pages

Subscribe:

Monday, January 23, 2017

RAMA DEE: MUNGU AKUPE USHINDI NA AWAMU YA PILI JPM

Mwanamuziki wa R&b kutoka Tanzania Rama Dee amefunguka na kuonyesha wazi kuridhishwa na uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kumuombea kwa Mungu ifikapo mwaka 2020 ashinde tena kwa awamu ya pili. 

Rama Dee amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka picha ambayo inamuonyesha Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anagawa pipi kwa baadhi ya viongozi na...
Mabalozi  walioapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam. 

"Mungu akupe ushindi tena awamu ya pili Mzee Magufuli" alindika Rama Dee 
Baadhi ya mashabiki wa Rama Dee waliipokea tofauti post yake hiyo huku wengine wakimuunga mkono na kusema watampigia kura na wengine wakionekana kumpinga Rama Dee kwa maneno mbalimbali 

0 comments:

Post a Comment