Pages

Subscribe:

Monday, January 23, 2017

KAULI YA P FUNK JUU YA VIDEO YA NGONO YA MTOTO WAKE ILIYO SAMBAA MTANDAONI


Moja kati ya issues ambazo zimetrend kinoma wiki iliyopita ni pamoja na hii skendo ya Ngono ya binti anayesemekana kuwa ni Paula mtoto wa muigizaji Kajala na producer mkongwe P Funk Majani.

Kitu ambacho kiliwaumiza sana wazazi hao wawili, na kudai kuwa binti aliye kwenye video ile ya ngono hakuwa binti yao na kupelekea kutoa mapovu sio ya pole pole mitandaoni. Jana kwenye On Point ya CLouds FM Mtangazaji aliamua kupiga story na P Funk Maajani ambaye ni baba mzazi wa Paula na kuzungumza...
mengi sana kuhusiana na skendo hiyo.
 
P Funk Majani alidai kwamba endapo angekuwa ni binti yake wala asingeweza kusikika kwenye vyombo vya habari nabadala yake ange deal na huyo mwanaume aliye kwenye video hiyo na kufuata mambo ya kisheria zaidi.

0 comments:

Post a Comment