Pages

Subscribe:

Friday, January 20, 2017

SALLAM SK: NI AY NDIYE ALIYE NIBAKISHA KWENYE TASNIA YA MUZIKI


Meneja wa WCB ya Diamond Platnumz ambaye pia ni meneja wa AY, Sallam SK aka ‘Fundi Mitambo’ amefunguka kwa kudai kuwa alitambulishwa na rapper AY kwenye tasnia ya burudani. Sallam ambaye ameonyesha uwezo mkubwa katika jukumu la kumsimamia Diamond, alikuwa akijihusisha na biashara ya magari bandarini.

“Ni AY ndiye aliyenibakisha kwenye tasnia ya Burudani nilikuwa zangu huko bandarini na shughuli zangu huko,” Sallam alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM. Mapema mwaka 2016 Sallam alieleza furaha yake ya kufanya kazi na...
legendary ‘AY’ katika ukurasa wake wa Instagram huku AY akitupia comments zake juu ya meneja huyo mpya.

0 comments:

Post a Comment