Pages

Subscribe:

Friday, January 20, 2017

P FUNK AIKUBALI NGOMA MPYA YA MADEE "HELA"


‘Hela imeletaga vita, imeua majita ilimradi balaaa’ ni moja ya kipande cha wa wimbo mpya wa madee “Hela”, ambao umemfanya Pfunk kunyoosha mikono juu ya wimbo huu.

Licha ya kuwa na maneno ya hapa na pale yakutupiana mawe gizani kati ya Nay wa mitego pamoja na Madee kuhusu ujio huu mpya wa “Hela”, P Funk majani ameonyeshwa kuikubali ngoma hii ambayo...
imesukwa na Producer Daxo Chali huku mastering imefanywa na Marco Chali.


Kupitia kurasa yake ya Twitter Madee aliposti maongezi yake na P Funk kuhusu wimbo wa “Hela” ambao P Funk ameonekana kuuzimika nao, huku madee ndani ya posti akiwa ameweka ujumbe wa “Father of bongo fleva kasema!!!!!”

0 comments:

Post a Comment