Pages

Subscribe:

Friday, January 20, 2017

BEYOUNCE ATOA SAPOTI KWA WANAWAKE WANAO MPINGA TRUM


Tangu kuanza kwa kampeni za Urais mpaka sasa anaposubiriwa kupewa cheo cha kuiongoza Marekani, raia  bado wanaonyesha kupinga Trump kuwa Rais wa nchi hiyo.

Moja ya Bad newz ni kwamba unaambiwa kuapishwa kwa Trump kunategemewa kuhudhuriwa na watu takribani laki saba na hiyo imekuwa tofauti kwa Barack Obama ambaye yeye kulihudhuriwa na watu zaidi ya milioni, Sasa katika kuapishwa huko kumekuwa...
na wasanii kibao ambao watahusika katika kusapoti kufanya maandamano ya kumpinga Donald Trump.

Baada ya kumwona T.I this time Beyonce amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya wanawake ya kumpinga Donald Trump.
Kupitia posti yake kwenye mtandao wa Facebook Beyonce ameamua kuwaencourage wanawake wengi kuwa pamoja katika maandamano ya “Anti Trump”,
download (9)
Maandamano haya yanatarajiwa kufanyika jumamosi ya tarehe 21 kufuatiwa na kuapishwa kwa Donald Trump.

0 comments:

Post a Comment