Pages

Subscribe:

Saturday, January 21, 2017

NASH MC AMTAJA MFALME WA MARAPA TANZANIA

Baada ya Rapa Young Killer, Roma na Nay wa Mitego kutaja list ya wasanii wa Hip hop ambao wanawakubali kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Rapa Nash MC amefunguka na kuwataja wasanii wa rap ambao anawakubali.

Nash amekuwa tofauti na wengine kwa kutomtaja msanii hata mmoja wa hip hop na kusema kuwa aliyekuwa star wa twanga Pepet..,
Ferguson ndiye mfalme wa marapa Tanzania. Nash MC amesema hayo kupitia mtandao wake wa Facebook na kusema kuwa anaomba orodha yake hiyo ya wasanii watano anaowakubali iheshimike.
Ferguson

0 comments:

Post a Comment