Pages

Subscribe:

Friday, January 20, 2017

HAYA NDIYO MANENO 23 YA BEN POL JUU YA BILL NASS


Naamini umeshawahi kukutana na comments kadhaa za mastaa kumuhusu mkali wa muziki anaye kua kwa kasi sana  Bill Nass, ni kuhusu discipline, ukali wake katika game, utunzi wa mashairi yake na mengineyo kibaao.

Sasa mkali wa RnB na hitmaker wa ngoma ya Moyo mashine Benard Paul almaarufu kama Benpol ameamua kufunguka yamoyoni kuhusu mkali huyo. Ni kupitia kurasa yake ya twitter Benpol ameamua kuandika...
tweet yenye maneno 23 kuhusu kile ambacho anakiona kwa rapper Bill Nass.

Ben pol ameandika: Bill nass ni smart sana, ana stock ya "Mawe" halafu hana papara, na discipline ya hali ya juu, inabidi atoboe tu kwa kweli

0 comments:

Post a Comment