Pages

Subscribe:

Friday, January 20, 2017

BAADA YA KAULI MBOVU KUTOKA KWA NAY SASA MADEE ATUPA JIWE GIZANI



Tangu imeachiwa ngoma ya Hela yakwake Madee kumekiwa na maneno ambayo yanachukuliwa kama ni majibizano kwa wakali wa muziki mahasimu wanaotoka sehemu moja Manzese Dar es Salaam Madee na Nay wa Mitego.

Picha lilianza kwa Nay wa Mitego baada ya kuandika katika ukurasa wake wa instagram kuwa amesikia wimbo mbaya kuliko nyimbo zote ambazo zimetoka kwa mwaka huu wa 2017, ikiwa ndio siku ambayo Madee...
aliaachia wimbo wake wa Hela.

Na baadaye Nay wa Mitego kuzungumza na Soudy Brown kwenye U-Heard ya XXL na kudai kuwa hajamlenga Madee kwenye post yake hiyo kwasababu hakutaja mtu, ila kama amejihisi basi na yeye ngoma yake itakuwa ni mbovu.
PhotoGrid_1484684507012
Sasa round hii ni Madee, kupitia kurasa yake ya twitter Madee ameandika fumbo ambalo pia wakali wa hizi kazi wanadai kuwa amemlenga Nay wa Mitego.

Madee amendika: Kama kweli unapenda tatoo c ugharamie ukachore kweli!!! Y unapaka pico?

0 comments:

Post a Comment