Pages

Subscribe:

Friday, January 20, 2017

HATIMAYE DAVIDO AAJIRI MENEJA MPYA



Saa 24 baada ya kutumia Snapchat kuelezea kummwaga meneja wake wa zamani, Kamal Ajiboye na kuwachana Sony Music, Davido ameajiri meneja mpya, Davido amemteua Ayo George ambaye hana...
jina kubwa kuwa meneja wake mpya. 

Awali alisema kuwa atajisimamia mwenyewe na kudai kuwa hana mpango na soko la kimataifa.

0 comments:

Post a Comment